Mohammed Hamad JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 3,988 Reaction score 1,308 Feb 5, 2011 #21 Husninyo said: line ya blue ndio za tigo au? Kuna lijitu linanisumbua hadi mtoto wa watu nakonda kwa ajili yake. Click to expand... Labda litakuwa limeona mambo yako kwenye lile jukwaa letu sasa na lenyewe linataka lol
Husninyo said: line ya blue ndio za tigo au? Kuna lijitu linanisumbua hadi mtoto wa watu nakonda kwa ajili yake. Click to expand... Labda litakuwa limeona mambo yako kwenye lile jukwaa letu sasa na lenyewe linataka lol
Mohammed Hamad JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 3,988 Reaction score 1,308 Feb 5, 2011 #22 Kaa la Moto said: Nimeshamkamata mgoni wangu duh! Click to expand... Mbaya zaidi ni mshikaji wako wa karibu MS lol
Kaa la Moto said: Nimeshamkamata mgoni wangu duh! Click to expand... Mbaya zaidi ni mshikaji wako wa karibu MS lol
Fredwash JF-Expert Member Joined Oct 27, 2009 Posts 1,400 Reaction score 2,010 Feb 5, 2011 #23 Husninyo said: line ya blue ndio za tigo au? Kuna lijitu linanisumbua hadi mtoto wa watu nakonda kwa ajili yake. Click to expand... its look like to me that u r in love with him/her, hahahahaha otherwise u wouldnt gv a shit about his /her harassment..... anyway i was just thinking
Husninyo said: line ya blue ndio za tigo au? Kuna lijitu linanisumbua hadi mtoto wa watu nakonda kwa ajili yake. Click to expand... its look like to me that u r in love with him/her, hahahahaha otherwise u wouldnt gv a shit about his /her harassment..... anyway i was just thinking
M Mchekechoni JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 275 Reaction score 19 Feb 5, 2011 #24 Kama ni laini ya tigo kuna tigo-pesa, airtel wana z-pesa na zantel wana yao. Jiunge bure mitandao yote kwa laini zao, na hako kamchezo ka kutegua vitandawili kanaendelea kama kwenye m-pesa!
Kama ni laini ya tigo kuna tigo-pesa, airtel wana z-pesa na zantel wana yao. Jiunge bure mitandao yote kwa laini zao, na hako kamchezo ka kutegua vitandawili kanaendelea kama kwenye m-pesa!
Click_and_go JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 451 Reaction score 6 Feb 8, 2011 #25 ......marvelous!!!