Are you relax?

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
466
Reaction score
1,033
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No! Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzako….. mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!

‍♀
 
[emoji15] are you cartoon?
 
KINGEREZA CHA OVYO, ANAYEJUA KIINGEREZA HAWEZI KUSEMA HIVYO. UMEBUNI KICHEKESHO TU LAKINI SIKUCHEKA.
 
ubunifu ndio tunao utaka hapa, we vp bhana, huyo jamaa kajitahidi kubuni japo huenda lugha kachanganya kidogo
 
Kuna wakati unaweza post kitu hapa halafu ukatamani ingekuwa facebook ufute fasta [emoji16][emoji16][emoji16]

Are you Relax? Mweh mkoloni na lugha yake
 
Mchizi ndio yuko sahihi,yeye sio relax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…