Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
ndoa ni umoja wawageni wawili wasiofahamiana vema.kila mmoja ni kama msitu wenye vitu vyakugunduliwa polepole.ugeni huo ni chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa.
wengi hugunduatofauti zao baada ya kufunga ndoa.
baada ya ndoakila mmoja hushangaa kuwa anatofautiana na mwenzake. Kwa mfano,
1-mmoja amezoeakwenda kitandani saa tatu kumbe kwa mwenzake ndo muda muafaka wa kuzungumza nampenzi na kufanya mapenzi
2-mwingine amezoeakulala mapema saa moja au mbili amelala fofofo .lakini huamka saa kumi alfajirihuo ndo muda wake muafaka wa mazungumzo na mapenzi
3-mwingine akiwamgonjwa hukaa kimya,hajielezi wala kutafuta faraja kwa mtu,mwingine daah hudekana kueleza hali yake kwa kireeeefu ili atunzwe kama kifaranga cha siku moja
4-kawaida ya mmoja nikuvaa nguo za ndani wk nzima bila kubadilisha ,mwingine hubadili kila siku
5-mmoja hujifutia taulo wk nzima wakati mwenzakehajifutii taulo wiki mbili
6-mwingine hupendakula ugali usiku mwingine akila ugali usiku huota anakimbizwa na simba .
hii ni mifanomichache members ,baadhi ya mambo huweza kufurahiana ,lakini tofauti zinginehuleta maudhi na kero.
nini kifanyike iliwageni hawa waweze kuishi vizuri?
goodmoning friends
love u all