Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

Wananchi wetu wanapata huduma nzuri kila nyanja kuliko ninyi mnaojitapa mko na uchumi mzuri.
Shosho mzima uko busy google ukiokota habari [emoji23][emoji23][emoji23] kweli ninyi ni wapumbavu by nature
Ukapenya wapi? Yaani maoni ya mkenya mmoja yamefanya mrukeruke kama mtoto ambaye amenunuliwa lollipop tatu. Mnatia huruma sana. Maoni ya wengi mnayakataa.
Hebu niambie/nieleze, kwa nini mpo LDC?
 
Wananchi wetu wanapata huduma nzuri kila nyanja kuliko ninyi mnaojitapa mko na uchumi mzuri.
Shosho mzima uko busy google ukiokota habari [emoji23][emoji23][emoji23] kweli ninyi ni wapumbavu by nature
Lala sasa wewe kijusi. Kesho ni shule. Sitaki uuliwe kama yule mwanafunzi aliyeuliwa mwaka jana. Walimu wa bongo hawana utu.
 
Hata hatukushangai maana ulishawahi kuandika humu hutokaa usifie au kuandika mazuri ya Tanzania.


Mtu mzuri ni yule anaweka wazi mabaya au kasoro zako, ni juu yako kujitathimini na kuzifanyia kazi ili usonge mbele. Mtu mbaya anaweza kuwa ni yule akusifiaye tu.

Let his criticisms, as a nation, be our mirror through which we can see our shortcomings and flaws.
 

Labda wawe chadema hao maana wao ndo hupinga kila kitu kifanywacho na serikali..
 
We si unaingia kusaka mahindi pata senti zako uje kula maisha sio unakuja huku kutuletea shida zako za kenya
 
Uwiiiii slum Mpya imegunduliwa Kenya inaitwa bangladeshi slum hivi Kenya kuna slum ngapi !!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…