M Mringo JF-Expert Member Joined Jun 23, 2010 Posts 320 Reaction score 100 Jul 8, 2011 #1 Wadau naombeni msaada wa jisnsi ya kutafuta area under curve. Curve ina data nyingi lakini huwezi kuformulate function yeyote ili uweze kufanya kwa ku-integrate.. Ila una normal X-Y plane... idea au ushauri
Wadau naombeni msaada wa jisnsi ya kutafuta area under curve. Curve ina data nyingi lakini huwezi kuformulate function yeyote ili uweze kufanya kwa ku-integrate.. Ila una normal X-Y plane... idea au ushauri