argent ku update apple ipod 32GB

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata

Asanteni wakuuu
 
Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata

Asanteni wakuuu

Tumi google transalotor kutafsiri maneno ya kibrazil kwenda kwenye lugha unayojua
Then badilisha language ya hiyo ipod yako lugha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…