KWELI Argentina iliua na kuondoa kizazi cha watu weusi ili kulinda kizazi cha watu weupe

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Tuambie na uarabuni waliookuwa vinara wa biashara ya utumwa weusi walienda wapi? Kwanini idadi yao ni ndogo sana .
 
Raisi wa Argentina ni muisrael ndio anaendelez huo ubaguzi , pia kapelekea inflation kubwa sana .
 
Tuambie na uarabuni waliookuwa vinara wa biashara ya utumwa weusi walienda wapi? Kwanini idadi yao ni ndogo sana .
Bro,Angalau ya Waarabu...hadi sasa weusi unawaona kwenye timu za michezo....Argentina haukuti hiyo kitu hata siku moja....Yani,Argentina ina asilimia kubwa ya Ngozi nyeupe kuliko hata Hispania,Ufaransa na Uingereza...
 
Huyo Guardiola ndo hafai kabisa, ni mbaguzi mno, ila hii nafikiri ni kutokana na Hispania kuwa wanabuzi wakubwa wa rangi. La Liga ina kampeni inafanya ndani ya uwanja kupinga ubaguzi wa rangi, inaonekana kule ubaguzi umezidi.
 
Yule balozi wetu wa mwendo wa kobe atakuwa salama huko!
 
Nakubaliana nawe kuwa mweusi Katika Bara la Amerika Kusini ni disadvantage. Imefikia hatua Weusi nao katika Bara hilo wamekubaliana na nadharia kuwa wao ni second class kwamba wana hadhi ya chini ikilinganishwa na weupe.
Hivyo, imekuwa ni utamaduni wa Wanawake Weusi kufanya kila njia kutegesha kwa weupe ili apate mimba na hatimaye apate mtoto mweupe/chotara.

Mbaya zaidi hata wale waliooana weusi kwa weusi, waume zao huwaruhusu wake kuchepuka na weupe ili kupata mtoto chotara. Kimsingi kwa sasa ni utamaduni kwa weusi kutokomeza kizazi cha weusi. Hawataki watoto wao wapitie madhira waliyopitia wao. Kwa wale ambao hamna expore, Ubaguzi ni kitu kibaya sana na hauwezi kuelewa kama haujakutana nacho. Wanaoishi Poland, Hangary, South America, SA, china, nchi zinazoishia na STAN wanaelewa madhira ya Ubaguzi.

Lakini hili suala la wanawake weusi kutegesha mimba kwa wazungu ili kupata mtoto chotara ni priority ya wanawake wengi waliopo nchi za Kaskazini, wakiwemo wabongo.

lakini cha kushangaza wanawake weusi waliopo Brazili na Colombia wengi wao ni wazuri sana wana ngozi ya light Cocoa na shape na nane, laini na simple. Wanaume wengi uvutiwa nao. Ila wengi hawajasoma na watu wa kitaa.
Angalizo TANESCO imetamalaki sana Amerika Kusini.
 
Yote kwa yote huwezi kuwahukumu wa-Argentina wa leo kwa makosa waliyofanya babu zao wakina Domingo. Japo ubaguzi ni asili, hata hapa Tanzania, Wazanzibar wanajiona special na vichwa vyao flat kama vimepigwa rula ila kichwani weupe.
 
Yote kwa yote huwezi kuwahukumu wa-Argentina wa leo kwa makosa waliyofanya babu zao wakina Domingo. Japo ubaguzi ni asili, hata hapa Tanzania, Wazanzibar wanajiona special na vichwa vyao flat kama vimepigwa rula ila kichwani weupe.
siyo mababu tu,Hadi Baba zao wanahusika...
 
Hujui unachokiongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…