BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #221
Yani leo mechi kibao,kuna Scotland na Ukraine,
Play off ya tenerife na las palma
Naona ni nguvu ya soda tu timu za America zina record mbovu sana saizi world cup.Hii argentina WC lazima safari hii isumbue
Messi anakuwa kama bado kijana.🔥
Messi anakuwa kama bado kijana.🔥
Yah man, hajawahi kutokea like atomic flea, God bless la SeleccionMwaka huu hii WC Kwa hili kosi la Argentina likiongozwa na mchezaji wa Hii Dunia toka kuumbwa kwake(Messi) watajuta