Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

Hii team yetu tuna matumaini nayo kwa sasa ina umoja wa hali ya juu wa kupambania jezi na ikiwepo pia na Quality.. Japo weng hawatuoni kama clear favorites lkn I believe we are a force to be recognized. #Seleccion [emoji1033].. #WC2022
 
24/9

Argentina 3-0 Honduras

Lautaro Martinez ⚽️
Messi⚽️⚽️
Messi King of the match

28/9

Argentina 3-0 Jamaica

Alvarez⚽️
Messi⚽️⚽️
Messi King of the match
 
Oyaah jamaa WC hii watafia uwanjan.. Na team ina umoja sana.. Tunaomba tu tusipate injury mwez m1 huu na ki2.. Mtu mwngne wa muhm msimu huu atakuwepo ni kama Angel kwny mafanikio ya [emoji1033] ni Di Maria
Mimi uwa naamin wazi kbs kama Di Maria angekuwepo kwny zile final Argentina ilizo poteza za Copa America na WORLD CUP bas [emoji1033] ingekua na WC na Copa America walau 3..yan wakina Higuain walikua mafala sana bas tu.. Yan nikikumbukaga Final ile ya WC 2014 Higuain anakosa chance after chance za kumaliza game namchukia sana bas tu.. Yy ndo alifanya had ss Messi hana WC.. Sema msimu huu tunapambania had tubebe.
 
Oyaah jamaa WC hii watafia uwanjan.. Na team ina umoja sana.. Tunaomba tu tusipate injury mwez m1 huu na ki2.. Mtu mwngne wa muhm msimu huu atakuwepo ni kama Angel kwny mafanikio ya [emoji1033] ni Di Maria

Yah Di Maria, Rodrigo de paul, Lo celso n.k, huyu de paul anacheza nafasi zaidi ya moja 😅 mid fielders kwakweli ni wengi mno, mafoward pia ni wengi, defender's ni wengi, Lionel Scaloni ana kazi, sijui ataanza na nani😅
 
Yah Di Maria, Rodrigo de paul, Lo celso n.k, huyu de paul anacheza nafasi zaidi ya moja [emoji28] mid fielders kwakweli ni wengi mno, mafoward pia ni wengi, defender's ni wengi, Lionel Scaloni ana kazi, sijui ataanza na nani[emoji28]
Kbs kikosi ni kzr anakaz sana kuchagua 1st 11 yake.. Sema tutaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…