computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Na kweli final nyingine kabisaKaz ilikua ngumu lkn tumepita.
J4 tunacheza final nyngne ss kabla ya final. Yenyw.
Vamooooooos LA Albiceleste [emoji1033]
Yan sisi kaz kaz na saiv tumeongeza maadui baada ya team ya Yebo Yebo([emoji1054]) imeenda nymbn bas tunaombewa kila aina ya dua tutoke lkn Mungu ni mwema watashangaa.Na kweli final nyingine kabisa
Na kweli Jana nilifurahi kumwona Di MariaYan sisi kaz kaz na saiv tumeongeza maadui baada ya team ya Yebo Yebo([emoji1054]) imeenda nymbn bas tunaombewa kila aina ya dua tutoke lkn Mungu ni mwema watashangaa.
Vamoooooooooos [emoji1033]
Huyu nimefurah sana kwa sbb hawaja. Mrisk kucheza sana kwa sbb alikua na over load kwny muscle.. Bora walikua wanamweka bench ni mtu wetu wa muhm sana huyo. Anabid awepo.Na kweli Jana nilifurahi kumwona Di Maria
Nikuombe tu hili jukwaa linahitaji watu weledi, wanaojielewa na wastaarabu, kama na wewe una vigezo hivyo basi karibu sana mkuu, ila matusi na ujinga wa aina yoyote hapanaIpo siku nitakuja hapa na kupigwa ban juu muda utafika tu
Viva Croatia [emoji91][emoji91][emoji91]
Hii ni comment yangu
Official Argentina will be the winner[emoji115][emoji115]
Hivi nyie mna akili kweli aliyeanzisha uzi hamnazo mpka wa Argentina wa mtogole hamnazo mkibisha nawaita Saudi Arabia
Acuna na montiel hawatocheza, wana red card kamanda..Hivi chama letu pendwa la vamonooooss acuna hatocheza kesho ana yellow card tatu zenye kufuatana?
Asante kwa ushirikiano kamandaAcuna na montiel hawatocheza, wana red card kamanda..View attachment 2444188