Mkuu na mimi naomba uki order NYOTA 3 niwekee na mimi. OG KABISAAAAAAHahah hongera sana aseee..
Mimi ninazo 2 za Home na away ule.. Tatz ss natafuta saiv wa nyota 3 OG nimetafuta naona bad hakuna.
Sema kufikia new year nabid niwe nayo hata kwa ku order nje ni muhm sana nivae uzi wa Albiceleste ukiwa na Nyota 3 kifuani na ile badge ya dhahabu ya FIFA katkat.[emoji91]
Vamoooooooooos [emoji1033]View attachment 2454407
Ilo limeisha kbs mamaah .. Mwnyw uzi we2 wa home tulioshinda nao ubingwa ndo nautafuta huo.Mkuu na mimi naomba uki order NYOTA 3 niwekee na mimi. OG KABISAAAAAA
ME JEZ YA ARGENTINA NINAYOIKUBALI NI MISTARI YA BLUE NA WHITE TUU
NITAZIRUDIA HATA KUMI ILA BORA IWE HYO
VAMOSSSSSSSSSS [emoji1033]
Kwa kweli
Yani mwaka huku kwa Argentina ni furaha kubwa SANA
Yani mwaka huku kwa Argentina ni furaha kubwa SANA
Kuja kulipata tena ni ndoto😂😂😂😂
WORLD CHAMPIONS are back home.
Asee ubingwa huu nikikumbuka tutauongelea kwa miaka mi4 ijayo nazid kuvimba sana popote na uzi wang wa Albiceleste [emoji91][emoji91]
Vamooooooooooooos[emoji1033]View attachment 2452484
Kiukwl ni moment ya Maisha.. Mm sijawah mpr kwa presha kama nilivokua naangalia game za Argentina za kombe la dunia ili.
Mwsh wa siku Mungu aliona ni wakati wetu na kweli tukanyanyua ndoo.
Vamoooooooooos [emoji1033]View attachment 2453507
Vamosssssssssss daima kubeba kombe la dhahabu huku tukishuhudia kwa utu uzima tulionao sitakuja kusahau that moment kabisa Argentina [emoji1033] imenipa raha sana ya football [emoji460] tangia nimeanza kufuatilia football [emoji460] hii ni moment pekee iliyonitoa chozi Asante sana Scaloni you are the giant ukiachana na players wetu ambao wote wameingia Daraja la kina Maradona Kempes Passarela Barachugga Cannigia daima hamtasahaulika Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina vamosssssssssss
Hapana, Hawabebi!
Argentina next world cup 2026
Garnacho- 22yrs
Enzo- 24 yrs
Alvarez - 26
Mac allistar- 27 yrs
Romero- 28 yrs
Foyth- 28 yrs
Lisandro Martinez -28 yrs
Molina -28 yrs
Montiel -30 yrs
Lo celso - 30 yrs
De paul - 31 yrs
Argentina bado wana generation nzuri