Ni kawaida, kama ambavyo european teams wakina spain, Portugal, italy, france wakikutana na Macedonia, malta, Luxembourg n.k!
Italy wame rotate squad walipocheza na Malta na ilikua ni qualifying game kabisa, Kwanini Argentina wanakwenda ni kikosi kamili mchezo wa kirafiki na Panama?
Kwani kuna shida gani! Ikiwa je!mashabiki wa Argentina na timu pinzani wanatamani labda kumuona na kumshuhudia Messi na wenzie wakisakata ball! Sioni shida,
View attachment 2570089
Hebu fuatilia za jana na kabla yake utakutana na timu kubwa zimecheza, Fuatilia Germany na belgium utakutana na wachezaji wa aina gani! Morocco na brazil ingia uone wachezaji waliocheza hiyo game
hizo Germany na Belgium Morocco Brazil ni mechi baina ya timu kubwa, Hivi hata Panama hamuna huruma nao? Dah
Hiyo ni enjoy kwa mashabiki kote duniani, sasa asipocheza yeye na big players wenzie tutaenjoy vipi sheikh😄
hapana jengine zaidi ya uroho wa kufunga magoli, Mulikua mukimu attack Ronaldo kwa kuwa na usongo wa kucheza na timu ndogo kwa tamaa ya Magoli ila kwa muda sasa imegeuka kuwa same story pande zote.
Hakuna cha same story, Messi ni mtafutaji na mtengenezaji na pia ni msaada wa magoli na timu kwa ujumla, na vile vile pozesheni wanazocheza ni tofauti, Messi anaanzia nyuma na ronaldo mbele anasubiri mipira ya kutengewa, au sivyo mkuu?? Au nimekosea??
Nafasi anayocheza Messi kwa ronaldo asingeweza kumiliki ball na hata kufikisha idadi hiyo ya magoli, Messi is the greatest Footballer ever, na hajawahi kutokea like him katika soka
Italy wame rotate squad walipocheza na Malta na ilikua ni qualifying game kabisa, Kwanini Argentina wanakwenda ni kikosi kamili mchezo wa kirafiki na Panama?