Argentina VS England: Imebeba mambo mengi na hisia zaidi ya mpira

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Ni mechi ambayo inaenda kukumbushia historia ya vizazi vingi katika nyanja mbalimbali

Huko Atlanta, Lionel Messi atacheza dhidi ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika taaluma yake huku mabingwa watetezi wa dunia wakijaribu kumzuia Thomas Tuchel kumaliza miaka 60 ya maumivu.

Lakini si ushindani wa uwanjani tu. Mvutano wa kisiasa, hasa kuhusu Vita vya Falklands katika miaka ya 1980, unatawala uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.














 
Nimechoka kila timu nayoshabikia inaishia kufungwa tu.

Leo nasimama na Argentina, come on guys njoo tumsapoti second GOAT

 
La pulga mwisho leo, baada ya mechi ni La Mbwinga

La Pulguita 🔥 🔥.
I predicted the Spain vs Argentina final na imekuwa, England ni timu ndogo sana kwa Argentina na dominance ya uwanjani imedhihirisha hilo.
Final Spain ndiyo wata-dominate uwanja regardless of whatever the outcome will be, Spain ni complete machine isiyotegemea individuality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…