DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Sampaoli kwa higuain amechemka
hahaha so icardi angekuwepo wangeweza kuchukua?icardi??kwa kikosi hicho hawawezi chukua ndoo...nawapa nafasi Germany na Spain..
sasa unamuacha Mauro unakwenda kumchukua mjinga mjinga yule..??hahaha so icardi angekuwepo wangeweza kuchukua?
icardi atakua anazurura tu uwanjani anasubiri cross apge kichwasasa unamuacha Mauro unakwenda kumchukua mjinga mjinga yule..??
Haupo sawa mkuu. Mauro Icardi ana scandal ya kutoka na mke wa mchezaji mwingine kitu kilichofanya akawa beef na pros wengi wa Argentina hata captain Messi.hivi mnaolalamika mnafahamu inter namna inavyocheza na magoli ya icardi yapoje? icardi haendani kabisa na timu yake ya taifa inavyocheza, icardi anafaa timu kama england au italy
hilo la mke wa rafiki ake nalifahamu linaweza kuwa limechangia pia cjasema kiwa hana uwezo nlichosema ni kiwa icardi haendani na timu kama aguero na higuainHaupo sawa mkuu. Mauro Icardi ana scandal ya kutoka na mke wa mchezaji mwingine kitu kilichofanya akawa beef na pros wengi wa Argentina hata captain Messi.
Icardi haachwi kisa hana uwezo bali kile kitendo ndio kinamtafuna mpaka leo.
Hakunaga kitu kama hicho. Mchezaji akiwa anajua tu hata kama aina za uchezaji zinatofautiana mwalimu ndio huwa anabuni mbinu ya kutengeneza chemistry (patnerships) kati ya wachezaji ili kuweza kuperform vizuri uwanjani.hilo la mke wa rafiki ake nalifahamu linaweza kuwa limechangia pia cjasema kiwa hana uwezo nlichosema ni kiwa icardi haendani na timu kama aguero na higuain
ni kweli tumeona partnership mbalimbali zikifny vzuri bt unafikir inawezekana ndani ya muda huu wa wiki mbili kufanya hvyo na prtnershiop ikawa tayari kwa kombe la dunia?Hakunaga kitu kama hicho. Mchezaji akiwa anajua tu hata kama aina za uchezaji zinatofautiana mwalimu ndio huwa anabuni mbinu ya kutengeneza chemistry (patnerships) kati ya wachezaji ili kuweza kuperform vizuri uwanjani.
Aguero, Higuain, Dybala wote wana aina tofauti za mchezo.. Inashindikana nini Icardi nae kuwemo kikosini?
Huyu anachapa madem wa wenzake ndomanaMauro icard ana bahat mbaya msimu Huu alkuwa kwenye Kiwango Bora kabisa nahisi Tatizo ni Hilo bifu lake na Messi
Alichapa mke wa maxi lopez mpaka akaoa jamaa anatumia kongodustKuna ugomvi kati ya icard na baadhi ya players wa Argentina haswa lionel messi
Hawa wanatoka ktk makundi