Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
At least we unaongea kitu ambacho kina make sensehivi mnaolalamika mnafahamu inter namna inavyocheza na magoli ya icardi yapoje? icardi haendani kabisa na timu yake ya taifa inavyocheza, icardi anafaa timu kama england au italy
hakuna kipindi kigumu wanapitiaga makocha kama kuchagua wale 23 wa mwisho! hua mpaka wanaandika vikaratasi wanaokota