Hakuna wakuuzima mziki wa Morocco weweee!!!Yap itokee miujiza ila france akipita morroco naona ndio itakuwa mwisho wao
Ndio mamdogo.Sasa Bibi kama uangalii umasema sio penalty
Haipingwi hiyo.Hakuna cha France wala England wote hao ni vibonde kwa Morocco.
Niamini
England wapite tu mwaka 66 ni zamaniii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]