Jamaa wanapiga hao, mungu ataki.Pole San mkuu ila inaonesha wew siyo mkorofi mnk hakn bwege yoyote anaweza nileteaa vutlrugu mtaani Ninako ishi aloo mm ni mbishiii
Unasemaaaaaaaaa???Unaona timu yako ina huo mpango wa ku-laugh [emoji23][emoji23][emoji23]
wazee wa meridianAnayecheka mwishoni hucheka zaidi.
Niliwaambia mimi. Hawa wetu.
Wamefosi mpk wameipata
Wamefungia. Nimehangaika weekend?!App ya kustream wakuu. Wameifungia hesgoal hapa
Mbona dharau sasa.Gooooooooooool eng 1
Wameifungia kipindi cha pili cha hii mechiWamefungia. Nimehangaika weekend?!
[emoji23][emoji23] Mimi naamin zaidi kikosi cha englandAsante for this big sacrifice hadi umeonewa huruma