SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Mbappe kingese sana..kinacheka penati ya Kane..[emoji3]
Kocha wa England katurahisishia kazi kwa kumtoa nje Sakha
Yamezoea michongo tuWamefosi mpk wameipata
Habari yako ChampionshipPenati za michongo lazima zipae.
Angalau sasa kesho tumsikie Jude na SakhaBora kakosa Kane angekosa mutu mweusi kesho angejuta.
Wanachoweza ni kuomboleza tu wapewe penalty.Maguire anamlilia Refa apewe penati ya tatu