technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Duh mambo mengi muda mwingine nakosa time ya kuwa hapa but I'm back😅Team Messi og tunajulikana mbona tangu day one ya kombee we unaibuka na kupotea
Utaelewa tuMimi Argentina lakini leo tunapigwa... hiki kikosi sijakielewa kabisa.. bora namba 3 angewekwa Lisandro Martinez
Kabesaaaaaaa!! Ngoja tuone boli dakika 90 zitakua zishaamuaTutawapigaa kindoigee...
Zima tu usklze radioYani cha bure kina gharama sio kwa quality hii ya TBC halafu kama inagandaganda hivi Yani slow motion
Sema hili bolii linaweza kwenda 120Kabesaaaaaaa!! Ngoja tuone boli dakika 90 zitakua zishaamua
Tuko hapaaaaaFriends of Croatia tupo 🤝🏽
Mnajuana wakati mlianza kupotezana tangu mlipobebwa na refa mbele ya wadachi!Team Messi og tunajulikana mbona tangu day one ya kombee we unaibuka na kupotea
Yeeeed[emoji123]Friends of Croatia tupo [emoji1754]
Nabet 120 hapana Ndani ya 90 Mbabe lazima ajulikane!!Sema hili bolii linaweza kwenda 120