technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Unabebwa ukiwa unabebekaMnajuana wakati mlianza kupotezana tangu mlipobebwa na refa mbele ya wadachi!
Hahahahaha ngoja tuone ...sema national 120Nabet 120 hapana Ndani ya 90 Mbabe lazima ajulikane!!
Woteπ΄οΈπ΄οΈπ΄οΈπ΄οΈπ΄οΈacheni vurugu nyimbo la taifa la Croatia linapigwa
Afu Nilitaka kukuita lol!!Nyie wenye kelele,mmemuona lakini babu Modric mtubad?[emoji2]
Haya,pambaneni
Ufaransa tunaendelea kujiandaa kunyanyua kwapa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Utapigwa weweMimi Argentina lakini leo tunapigwa... hiki kikosi sijakielewa kabisa.. bora namba 3 angewekwa Lisandro Martinez
Argentina ni chama la duniaYani Argentina ikicheza server za jf zinazidiwa hata ku reply comments ni ishu
Mimi nipo nawaandalia tu vitambaa vya kufutia machozi yaoAfu Nilitaka kukuita lol!!
Dah Di Maria haanzi kwanini?
Nimeulewaa haswaaUwo Uzi wa Croatia balaaaa tupu
Labda Messi wa Buguruni Malapa
π ni mmoja tu dunianiiiiiiArgentina ni chama la dunia
Risiti ni muhimu ππΌππΌππΌMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa