raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
WaleteeeeHere we go ππ·ππ·ππ·ππ·ππ·ππ·ππ·ππ·
π€£π€£π€£Hamtaamini macho yenu
Dk 90 tu Messi atakuwa katepeta, kale ka mdada ka Croatia kameweka mambo hadharaniNabet 120 hapana Ndani ya 90 Mbabe lazima ajulikane!!
Hiv argentina hawana jersey ingne,croatia leo wamedamsh
π€£π€£π€£π€£Labda Messi wa Buguruni Malapa
Dk 90 tu Messi atakuwa katepeta, kale ka mdada ka Croatia kameweka mambo hadharani
Nguvu za MO extra hizo ππWaajentina wameanza moto
Ushindi wa Croatia upo hapaaaππ