Jana na leoTeam Croatia tujuane tafadhali[emoji4]
Hii ajentina ya mgunda lazima itoke leo...Nguvu za MO extra hizo 😂😂
Croatia wanajua Sana kupress na kukaba[emoji4]Argentina wanautafuta kwa tochii...hapo kato patamu haswa
Naitunza hii kwa matumizi ya baadaeNi kulia Kwa zamu.
Leo zamu ya babu yenu Anduje Mwakifuna.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app