McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
Quality gani HD(720 kupanda) au SD (480P kushuka chini)Naombeni link YA Ku stream
Dk 10 nusu uwanjaWaleteeee
Tupo hapa dear[emoji7]Team Croatia tujuane tafadhali[emoji4]
Naona mkuuDk 10 nusu uwanja
#weaizmithii
Muda huo utakuwa busy kumbembeleza babu yenuNaitunza hii kwa matumizi ya baadae
Aibu kubwa Sana hi[emoji38]Messi anaomba penati
Leo hazipo penalty za mchongo mchongomaMessi anaomba penati
Ashazoea magoli ya dezoMessi alikuwa anataka apewe penati ya 4 refa kamstukia
Wanakuchafuaa kinomaaCroatia apo kweny kiungo tema mate
Nipo aisee. 😁Wapi EP beautycare 7 mins