technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
DuhNyimbo ya crotia ni nzuri
Mmeanza wazee wa mbeleko[emoji38]Huyu refa mwehu
Matuta penalt ya anduje itatemwa.Croatia wanakichafua balaa.
Timu andunje mujiandae kwa maumivu.
Kovaaaaaa kwenye ubora wake leoWachezaji wawili wanamkaba mchezaji wa Croatia mpaka wanafanya faulo lakini hukuti watu watu wanalijadili hili kama big issue kwasbabu halijafanywa na Messi
Jamaaa ni noma
Majamaa wanajua kupress balaa[emoji39]Croatia apo kweny kiungo tema mate
Kwa sababu hizi dk 24 Croatia wamelishika dimba vizuriMechi inabore. Hakuna tension kama ilivyokuwa France na England.
Argentina maji ya shingoMliopo mbele ya screen, mechi inaendaje?