Naona Argentina wamepiga shuti la kushitukiza.Kwa sababu hizi dk 24 Croatia wamelishika dimba vizuri
Ile ndio ilipaswa kuwa fainaliMechi inabore. Hakuna tension kama ilivyokuwa France na England.
Argentina tayar keshapakwa kilainishi wanasubir kupakuliwa[emoji39]Mliopo mbele ya screen, mechi inaendaje?
Kovaa balaaaKovaaaaaa kwenye ubora wake leo
Leo mmeshikwa[emoji4]Croatia boli inatembea
Yes babe we have too[emoji39]Baada ya ushindi tukajipongeze my love[emoji4]View attachment 2445814
Zinaweza kuwasaidia sanaNaona Argentina wamepiga shuti la kushitukiza.
Messi asibebe hii ndoo, Ronaldo atadhihakiwa sana
Bado game mbichi
Labda Mwalimu wa mpwanyungu village[emoji38]Messi ni mwalimu[emoji23]
Sasa kumbe nini..
Sio draft hiliKovacic anakabwa na watu wawili na kuangushwa chini. Jamaa wamekamia balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Game ngumu anashida yeyoteCroatia wanajitahidi ila kichapo ni palepale acha wajifarague
We taja brand za simu tuCroatia wanajitahidi ila kichapo ni palepale acha wajifarague