Ha ha ha....Croatia Wana dicpline ya kukaba balaa[emoji4]Messi anakabwa na watu Mia Mia
U star kazi kwel kwel
Argentina nyumbaniMtakatifu Modric kama ametoka salimiana na Mungu
Watangazaji wwatbc wanajuankutangaza mpira, Hawa wa dstv wanapiga TU storyMwaka 2014 Lionel Messi Aliliona kombe kwa macho yake
Alilitazama kwa uchungu uliotukuka
Asante TBC,mnaupiga mkubwa [emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hawa wa TBC wanaupiga mkubwa sana [emoji119]Watangazaji wwatbc wanajuankutangaza mpira, Hawa wa dstv wanapiga TU story
Mgunda kaingiaje hapa, au hujui kuwa Mgunda ni team Croatia?!Hii ajentina ya mgunda lazima itoke leo...
Ni suala LA muda tu mkuuWe taja brand za simu tu