Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Poor kabisaDuhhhh.......hiii ndio penalty ya nusu fainali.......
Refa wa leo sio yule wa robo finally, hakuna penati ya mchongo hapaMessi anaomba penati
Narudia kama humpendi messi wewe ni KengeeKama unamchukia messi wewe ni Pimbi tuu
Shangaa hata wewe eti hii nayo ni penalty [emoji2]Kina Anduje wanabebwa.
Lakini sio mbaya safari bado sio nzito
Alipaswa aguse mpira kwanza kabla ya kugusana na mtu.Kwa iyo pale kipa hakutakiwa kugusana na yule mchezaji kwa sababu sijaona intention ya gollie kumzuia zaidi kugongana tu.
Foolish decisions by referee
Sent using Jamii Forums mobile app