Mkuu Morocco awale tu Ufaransa hakuna namna..tujue palipovuja..hili ni kombe la Dunia...tumia mbinu zote.Waafrika wenzako unawaombea balaa!!??
😅 😅 😅 😅
Sema counter attack zao ni balaaIle penalty masikini imewauwa kabisa Croatia kimolali.
Bado brotherGame over [emoji119][emoji119]
Hapana mkuuNini tena?
Penati nyingine ama?
Hamna shida, team France tunawasubiri
Muda bado nina imani na CroatiaGooooaaaal
HahahahaaaaaaHili goli la pili sio goli mfungaji kaudaka mpira kabla ya kufunga goli. By Mchambuzi wa Buguruni Malapa