PoleeKubababake viwili tayari...nlienda kuweka mpira kwenye pipa nakuja nakuta viwili tayarii
Goli la 2 Argentina.
Tv mbovu hiyoHili goli la pili sio goli mfungaji kaudaka mpira kabla ya kufunga goli. By Mchambuzi wa Buguruni Malapa
Kumbe tusiwe tunateseka Makolokolo na Utopolo wakibebwa maana hata akina Andunje nao wanabebwa tena na VAR ipo kabisa [emoji16]Penati imewatoa mchezoni
Inabidi wabadirishe mbinuMuda bado nina imani na Croatia
Inabidi wabadirishe mbinu
Mkuu kesho tupo pale mbele..tunawala wale watoto walaumiane kama wenzao tuliowalaSisi mashabiki wa Morocco tunasema tangulieni tunakuja.
Dk 20 za mwanzo kati walikua wako vizuri sana CroatiaModric kafichwa kabisa ndo engine yao