adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
HawatoboiiiNina Imani na Croatia [emoji3060]
Koma kuniita shabiki wa Ronaldo.Nyie mashabiki lia lia wa ronaldo hapa ndio huwa mnaharibu mpira.
Kwani ni wewe tu ndio unaona mpira?
Au mpira unachezewa chumbani kwako?
Wee mpe moyo mwenzako, na moyo wenyewe mmoja huo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Noo, zinarudi japo mpira lolote linaweza kutokea
Hata hivyo wako 13Haya nilisemaga...Nikatunza risiti
[emoji28][emoji28][emoji28] tutagawana huo huo, ila i'm sure goli zinarudiWee mpe moyo mwenzako, na moyo wenyewe mmoja huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tu ni kama dokta Remmy, Dokta Levy, dokta Cheni na mifano mingine kama hiyoHuyu mzee kwanini anaitwa dokta?
Hakuna kosa...ushabiki sio kabilaKuna watu wameshahama timu zaidi ya 9
Sawa tufanye ni 1-0FIFA wamepanga Argentina awe bingwa ili kumfavour Messi.
Goli la kwanza halikuwa penati maana mchezaji wa Argentina alishaupiga mpira ndio kagongana na kipa na mpira walishau win mabeki wa Croatia so hapo walibebwa tuu Hakuna penati.
Kwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?Refa kashachemka penalty ile haikua sawa kabisa mchezaji kashapiga mpira na yeye ndo kamfata kipa
Hata watangazaji wanalisema hilo
Ila kwa unafiki wao wanapotezea
Wewe ndio unafanya hivyo Ila ubao unasoma 2 kwa 0Sawa tufanye ni 1-0
Tuko hapaaaaaDJ walete Croatia ... π€πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Wakienda mbele kwa jinsi tulivyoambiwa kuwa watapewa Penati...
Sure broKwani mi sababu ya kusema kipindi cha pili nakikaushia unafikiri ilikuwa ni nini?
Nilikuwa nairudia kuiangalia ile penati jinsi ilivyopatikana na hapo ndio nikaona kivyovyote hapa Argentina anaandaliwa ashinde
Tangu wafungwe bao la penati unaona kabisa team ilipata mvurugiko ikawa haichezi katika form ya kueleweka na hapo ndio wakafanikiwa kupata bao la pili
Chezeya Argentina weweeTeam Croatia mmenyamazishwa vibaya na mapema sana π€£π€£π€£π€£π€£
Mambo ni π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·π¦π·