Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Piga hao waarabu uchwara...
Sawa Dada Khadija [emoji23]France akishinda leo mniiite khadija maunk
KiparangotooHivi kipara kwa kimorocco ndo kinaitwa kiparangwidu?
Mkoloni hana huo ubavu wa kutuogesha magoliMie mzalendo japo washatusalitii na najua tutaogeshwaaa magoliii!!
Ngoja tuonee! France kitu kingine aisee tukae kwa kutuliaaMkoloni hana huo ubavu wa kutuogesha magoli