Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Haiwezekani watukatae sisi wamatumbi wenzao...Kwanini uchwara mkuu
90' ndio zitaamuaa!Kama wasingetutenga waafrika Morroco wangeshinda mechi
Tulia mwenyewe na hofu zako, France ni bwabwa kwa MoroccoNgoja tuonee! France kitu kingine aisee tukae kwa kutuliaa
Hazija fika lakini uamuzi ndio huo90' ndio zitaamuaa!