Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Karibu sana madam, leo upo kwa wakoloni au upo kwa waarabu waafrika?Wooozaaaa
Biashara asubuhi!!Mapema sana
Waarabu hawanihusu sio mwenzao mimiKaribu sana madam, leo upo kwa wakoloni au upo kwa waarabu waafrika?
Tupo Ufaransa na tumeshinda moja tayariWale haters wa Morocco mmesha hamia France au bado mnajishauri?
Niliwaambia kua Spain atakula kichapo mkabisha,akapiwa mkahamia Portugal,napo mkapaza sauti kua Morocco atatolewa na Portugal,haikutokea,Porugal nae kala kichapo kitakatifu.
Poyeee babeHuku leo wametuamlia saa tatu na dkk kadhaa umeme wakaucancel
PigaaaaaaaaPiga hao arabs
Piga hao uncle zake Dokta.Piga hao arabs
France ... wewe je?Bantu Lady upo wapi leo?