MweehπππAya tubadilishe gia..
Morocco sio waafrika na wamejitenga nasi waziwazi kabisa kwa maneno yao
Tangu jana nilisema 45 tu zatosha kuamua!!Hazija fika lakini uamuzi ndio huo
Ufaransa ikishinda wameshinda weusi na wazungu wakishinda Morocco wameshinda waarabu.Uzuri ni kwamba, ufaransa wakishinda, imeshinda dunia. Morocco wakishinda imeshinda Morocco na waarabu
Babe miss youpigaaa haoo warabuu
Thanx dia ila sina mcheche kivilee timu za leo sizifagiliiPoyeee babe
Upo upande mzuriWaarabu hawanihusu sio mwenzao mimi
Leo nipo ufaransa bestieThanx dia ila sina mcheche kivilee timu za leo sizifagilii
Pamoja aiseeFrance ... wewe je?
Tanteee [emoji847]Upo upande mzuri
Kila la heri beshteLeo nipo ufaransa bestie
Hahaha subiri mziki wa πUfaransa wapewe kombe lao