Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Na wakoloni wa si hawakuhusu pia!Waarabu hawanihusu sio mwenzao mimi
Pole aiseeTanesco wamekata umeme leo naangalizia bar
I can't wait [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha za tarehe 18 tayari zishaanza kutokaView attachment 2447013
[emoji120][emoji3059]Kila la heri beshte
Hamna ujanza mkuu kombe lao hiliMorocco inacheza vizuri sana ingawa wameshafungwa bao moja la haraka haraka. Ufaransa inaweza kushinda tena kombe hili kiujanja ujanja kwa kutumia waafrika.
SenkyuuPole aisee
Kama argemfyko alivyofika fainali kijanja Kwa penati za mchongoMorocco inacheza vizuri sana ingawa wameshafungwa bao moja la haraka haraka. Ufaransa inaweza kushinda tena kombe hili kiujanja ujanja kwa kutumia waafrika.
Muda bado mbichi sana, ila umejitafutia presha ya bureHata hamu ya kuangalia mechi imekata.
Hakuna ujanja hapo Ufaransa anatuwakilisha vyema sanaMorocco inacheza vizuri sana ingawa wameshafungwa bao moja la haraka haraka. Ufaransa inaweza kushinda tena kombe hili kiujanja ujanja kwa kutumia waafrika.
Sio Mimi moyo...Muda bado mbichi sana, ila umejitafutia presha ya bure
Kama unashabikia Argentina hatukupi pambana na Hali YakoNaomben web ya kuchek online