Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Mtaalam hajali maslahi ya watejaTV ya home quality ilikuwa tamu hadi raha ila ya hapa bar sio kabisaaa na zote ni dstv
Haiti Ile ambayo ilikua ikijiandaa kwenda kucheza mechi wanafungulia mziki Kwa ajili ya kuzoea kelele za mashabiki uwanjaniWe team gani?tuanzie hapa kwanza
Game bado hii tunaweza kuchomoka muarabu mwenzanguwaarabu weusi wenzangu vipi, tunatoka hapa kweli?
Hii kujua tv original na fake umesomea au ni utundu tu?Nunua TV original mkuu achana na tv za kichina za 76,000 Kariakoo
Acha unaa basiFrance anachukua
Messi huyu huyu hadi refa ampe penati ndio afunge au wew unazungumzia Messi yupiBeki hii ya konate na varane kina messi wanaipasua kama chainsaw.
Kanoteni kama Zouma na Varane ni Manguya aliyechangamka.
Nitajuaje kwa umelala Kalpana, Embu acha kuzuga hapa nioneshe room yako uku umelala kwa bedKambi ya Fisi haya naenda kulala umenisema sana.. nitajua kesho..
Hahahahaha mimi naongea ukweliAcha unaa basi
Si tulikubaliana tulianza na Mungu tunatembea na Mingu tutamaliza na Mungu