Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Leo wanacheza sn aisee, mm sio shabiki wao lkn mpira wanaucheza haswaDah
Wamechezea nafasi za bure
DaaaaaahWe will never forgive you Messi, never. 🤣 🤣 🤣
Hapa hapatabirikiMoroco hawana nidhamu na hawajui kufunga ,so mashabiki maandazi wa moroco mjiandae na goli la pili la mbape
Km akipita hlf fainali acheze hv, bas watafungwa goli nyingi. Hawapo makin kbsDefense ya France haiko stable