SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
You wish.Sasa kazi iliyobaki ni France kupiga hizi kenge za Argentina
Cry more.Yani hiyo timu yenu ikikutana na clinical finishers, mnalala na soksi.
Mbappe hanaga swaga za mbeleko, peleka huo uchuro wa kubebwa bebwa kwa Messi wenu [emoji2]Kumfananisha Mbape na Messi ni kuukosea adabu mpira. Huyo mtoto ana mengi ya kufanya kugusa career ya Messi duniani.
Sisi tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa sherehe
Morocco wamepigana siku tegemea kama wange dominate mechi kiasi hiki ila mwisho wa siku mkubwa anabaki kuwa mkubwa experience ina matter.
Tena kupiga kipigo Cha kikatili kama kile Cha 2018 pale Russia Messi amechagua kwenda kupata kilio siku ya fainaliSasa kazi iliyobaki ni France kupiga hizi kenge za Argentina
Crying is for losers.Cry more.
Hii picha imepigwa J2Karibu sana ufaransa
Tunawasubiria sanaaaa hyo jumapiliii
Wale ni wafaransa mkuu huo 'ubantu' wao usikubabaishe..ππWaafrika!!
Tarehe 17Morocco na croatia wanacheza lini?
Special group.Mbappe hanaga swaga za mbeleko, peleka huo uchuro wa kubebwa bebwa kwa Messi wenu [emoji2]
Mungu Muumba mbingu na nchi tunaomba France atembelee nyota "bahati" Argentina wacheze mpira France wachezee kombe la klabu bingwa [emoji28]Argentina atatufuta machozi..[emoji23][emoji23]..
Tate Mkuu Scars Saint Anne Numbisa Interlacustrine R
Kwa kuchagua vibovu tu, haujamboFainali nipo kwa Messi black france mnisameheπ π π π π
Kama wamoroko walitukataa, kwa nini sisi tusiwakubali wabantu wenzetu waliojikodisha Ufaransa.Wale ni wafaransa mkuu huo 'ubantu' wao usikubabaishe..ππ
[emoji56]Mimi kama muafirika nafurahi kuwaona waafrika wenzangu wanaocheza Ufaransa na kuwafunga waarabu bao mbili bila huruma na kuwaondoa kwenye mashindano ya wedkap warudi kwao uarabuni kufuga ndefu.
Nyie matumaini yenu yalikuwa kwa Senegal na Ghana, sasa mbona mnatulaumu Sisi Waarabu wa Morocco bila sababu? Au mmetumwa?Bora wametoka waarabu koko hawa Makelele kibao