Huyu drogba sjui anajikuta nani,kwahyo kisa KB9 hakumu acknowledge usiku wa ballon dior ndo kumtoa mwenzie asicheze mxiew
TANESCO walaaniweTANESCO na mpira katika eneo la hatari
Wote tuseme amenTABES
TANESCO walaaniwe
Kila timu imefunguka hakuna aliyepaki basi, magoli ni mengi leoImekuwaje kuwaje ebu msinamvie ngoja niwahi fasta bandani kule kuns generator
Inaenda kutimia..Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Goli la kizembeGoli la MOROCCO