uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Oya hivi watu wa Mbeya unatuchukuliaje wewe??
😂😂😂😂😂😂😂Mbappe hawezi kuongea hivo.. Hii habari itakuwa imetokea sky sports ya Nzovwe
Dah sijui nini hua kinatokea Argentina akicheza unaweza kua dika comment yako unashangaa zimekuwa 3🤣🤣🤣🤣🤣
Kiongozi wa fujo nipo.
Na uzuri Argentina ikicheza hadi server za jf zinazidiwa
Dah sijui nini hua kinatokea Argentina akicheza unaweza kua dika comment yako unashangaa zimekuwa 3
Hizi ni hadithi za Eric ShigongoKesho ufaransa tunatetea kilicho cheti sio View attachment 2450222
Mungu ibariki Argentina
Mungu mbariki Lionel Messi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ni hadithi za Eric Shigongo
KabisaAt least he's not a penalty GOAT just like dwarf
🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️Nimefanya U turn...argentina anapigwa
Utajutia hiliNimefanya U turn...argentina anapigwa
Thy wil prove u wrong! 🤣🤣🤣🤣Nyie Wafaransa weusi andaeni leso za kufutia machozi, leo mtalia mpaka macho yavimbe...
Tate Mkuu Scars ukikaidi utapigwa2 Victoire Saint Anne Interlacustrine E 100 others...
Messi anastaafu national team na kombe la dunia...vamosss.. Argentina
Dembele alikuwa anacheza nae Barca. By the way Bora kikosi kazi kingekuwa kimekamilika nisigekuwa na mashaka kabisa.Jinsi some french players wanavomhusudu mess(except for mbappè)i naogopa kwel mech ya leo wanaeza tuangusha,nshamchukia dembele i wish asiwepo mxiew