Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Fanatics wa football mnawendawazimu,husomi kuelewa,kutafakari na kuchanganua..unakurupuka tu,mithili ya mla kuberi, au benjamin wa hiphop mdundiko...Wacha upumbavu wako maramoja.
 
ARGENTINA watafungwa vibaya sana leo.
Wale wazee wa kubeti wekeni hata milioni Ufaransa anachukua kombe saa nne asubuhi.
 
Sidhani kama umewahi kuwaona Argentina wakicheza. Ni timu bora zaidi kwa sasa hapa duniani na haimtegemei mchezaji mmoja.
Ktk team inayoongoza kumtegemea mtu mmoja arPENtina ya kwanza,kila kitu PESSI
 
Rabiot na konate wanaumwa[emoji852][emoji852][emoji24][emoji24]🥲🥲View attachment 2450758


Mbona mshkaji wetu Dembele alishasema kawatengenezea chai ya tangawizi wako poa!

Au alikua anatupiga kamba

 
Ninasikia hata Ghana wanatoa hela ili uitwe timu ya Taifa.Cameroun pia hata safari hii kuna

Tumekusikia. Mbappe nae ule upande atatupa penalt.
Nilikuwa nakutafuta nikupashe habari nimeota tena juzi. Ufaransa kabeba kombe.
ulishawahi niuliza hili swali sikukujibu kwakuwa sikuota. So nimeshaota tena.
 
Katika hayo manne
Nimechukua moja la average coach mkuu

Ukitaka mfano wa average coach mchukue kocha wa England...Southgatey
Yap,Gareth southgate ni moja yangu ya list ya average coach wenye timu nzuri zenye vipaji vingi na vikubwa...Fernando santos- ex-Portugal, Hayo manne-average coach anaweza kubebwa na bahati,vipaji wachezaji na ugly football(Park the bus,counter attack ya kinyonge) na haswa katika cup competition...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…