Ngoja tuone lakini konate yuko poa kuliko upamecanoYeyote yule kichapo ni palepale
Vamos
26 appearance bla WC trophy what a shame
Bantu nipo siti ya pembeni hapa, nione unavyotingishika mkifungwa na Mbappe!!Mtani nina mahaba na Messi, mpaka sijielewi tena [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hivi na ww ulikua Brazil ee?? Kila la heri nawaombea mshinde kwakweli mambo ya nchi moja kurudia kupata kombe miaka 2 mfululizo hapana wakati kuna nchi kama Crotia zinanusaga tuu kombeAnaitwa Peter Crouch mtani humohumo... Ufupi wa Messi hata siuoni yaani mtani. Yaani Messi moja kwa moja Peponi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thank uAll the Best France
Man city[emoji41][emoji41][emoji41]We timu gani hapo epl
Unataka tuongee hapa ama wee cha wivu?Mfundishe pia lugha ya Messi aijue naona bado anashangaa shangaa tu kama mbuzi anayesubiri kuliwa 😂
Konate anaumwa homa mkuuHuyu kocha wa France anazingua, utamuachaje konate uanze na upamecano
Yes mtani Brazil moja hiyo...Hivi na ww ulikua Brazil ee?? Kila la heri nawaombea mshinde kwakweli mambo ya nchi moja kurudia kupata kombe miaka 2 mfululizo hapana wakati kuna nchi kama Crotia zinanusaga tuu kombe
Imeisha hiyooo tusubiri kushangiliaYes mtani Brazil moja hiyo...
Tuongee tu hapa hapa kabla na baada ya mechi kuisha.Unataka tuongee hapa ama wee cha wivu?
Asante........ila kwa ufaransa umeyakanyagaMan city[emoji41][emoji41][emoji41]
Huijui France weweHakuna beki ya kumkaba Messi pale France
Unaniangusha swahiba... kwahyo na chama letu huku bongo lisiwe linachukua back to back... hahahaHivi na ww ulikua Brazil ee?? Kila la heri nawaombea mshinde kwakweli mambo ya nchi moja kurudia kupata kombe miaka 2 mfululizo hapana wakati kuna nchi kama Crotia zinanusaga tuu kombe
Nenda kachangie mada za kula tunda kimasihara kijana achana na mpiraHizi ni fitna tu... ndo mana wamebebwabebwa tu mpaka wakafika fainali na huyo mluguru wenu ili muje mumpe Kombe la dunia muje mseme ana historia kali sana!
Hili nililijuaga na nikawaambiaga watu mapema sana haki ya mungu... "hii fainali huenda akacheza Argentina na Portugal" wakaona Ronaldo akiingia fainali ataua mtu wakaamua wawatoe kwa fitna wawapeleke hao wahuni na wabaguzi kabambe kutoka amerika kusini! Mpira wa siku hizi ni ushetani na michongo tu all over the world! [emoji17][emoji24]