Na badooMMaaaae kidogo tufungwe
Mtamkataaa baadaekipa leo ana macho manne
Nguvu ya pepsi iliyotikiswaWatu wafupi wameanza vizur
Wala hataMtamkataaa baadae
Huenda unaangalia game nyingineFRANCE WAMEZIDIWAAAAAAA
Me pia bro... France washakuwa maadui zangu wa maisha kama Croatia kwa sababu walitutoa England. Argentina sijawahi kuwahusudu maishani..... na hivi wameenda final kifitna basi ndo nazidi kuwachukia hao mbwaLeo naenjoy soccer, sina team.
HAHAHA HUUTAKI UKWELI EEEHHHHuenda unaangalia game nyingine
UMEONA EEHH HAWAJA RELAX HATA WANA MESSIPHOBIAMi natamani Ufaransa ashinde lakini game ilivyoanza. Ufaransa wana presha kubwa sana. Watafungwa