Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Maybe this time that Argentina secured a hopeless corner.HAHAHA HUUTAKI UKWELI EEEHHH
France ndio uchezaji wao wew cheza mpira sis tukufungeMi natamani Ufaransa ashinde lakini game ilivyoanza. Ufaransa wana presha kubwa sana. Watafungwa maana ni kama washapoteana.
Entonces, ¿vendrás a Francia, cariño? 😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
No quiero ir a Argentina 🇦🇷
Presha ni kubwa, ngoja tuone kama watasustain kwa dk 20.Nguvu ya pepsi iliyotikiswa
SawaMimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
We mwenyewe wakati unasoma muda wa Sup ulikuwa na wenge ili usije pata re supFrance mbona leo wana wenge? wasije kutuchania mkeka
Yn htr sn, yyte ashinde tu. Mm nacheki soka leoMe pia bro... France washakuwa maadui zangu wa maisha kama Croatia kwa sababu walitutoa England. Argentina sijawahi kuwahusudu maishani..... na hivi wameenda final kifitna basi ndo nazidi kuwachukia hao mbwa
Risiti👆🏼👆🏼👆🏼Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa