SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Unaipata furaha sasa au sio?Sisi ufaransa kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weusi
AFU furaha yetu ufaransa ni mapunye akose kombe la dunia kirikuu wa manzese
mechi zote muda wotee
Bora huu mpira hata siangaliii ningeumia mnooo zaidi ya hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndo ukweli huoNani kakudanganya?
La duniaMessi ninani wakumfikia hapa Duniani kwa kucheza Mpira je ni kombe gani hajabeba?
Hatimaye king Messi anaenda kunyanyua huo mzigo ?...kautafuta Sana aisee hatimaye ameupata....Mwali ndiyo huyo ndani ya Louis Vuitton..
Shughuli iishe tu hii...
Viva [emoji1033]
Viva King Messi...View attachment 2451002