Mbappe kiboko ya MessiHata usipobeba kombe, kwangu mimi wewe ni mchezahi bora zaidi kuwahi kutokea katika uso wa duniaView attachment 2451017
sawa.Mnakimbilia kuweka thread tulieni muangalie mpira!
[emoji1787][emoji1787] Yaani depal alivyoongea ndio nimeelewa nikajua appleAuntie una mimi nami lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awabebe asiwabebe sisi tunapeleka moto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1073][emoji1073][emoji1073]Refa anaharibu mpira,anawabeba Argentina waziwazi
Ile kuvuta jezi ilkuq Ni njano ya pili afu red card kwa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mbio fupi na ndefu, labda huyu ni wa fupi. Bado ni utabiri maana penati hazijafika na France hajashinda.Utabiri wa muda huu haufai.....
Raha sana,kumbe mlikua mnafaid hiv na hamsem.26 December..the best League in the World inarejea.
Huyu refa ni kayoko mtupuRefa anaharibu mpira,anawabeba Argentina waziwazi
Ile kuvuta jezi ilkuq Ni njano ya pili afu red card kwa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Refa anaibeba Argentina waziwaziRefa msenge filimbi ya nini watu wana advantage faulo ya Coman
Na moto unawaingia kweli kweli.Awabebe asiwabebe sisi tunapeleka moto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1073][emoji1073][emoji1073]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kipa wa argentina ni mzur, hta ile ya mbape aliigusa.Ufaransa inatakiwa ishinde ndani ya uwanja. Kwenye penati Argentina atashinda
Tuwe watulivu, na ukininunia nitaku...Kwendraaaaq
Lazima nije ubingwa wetuUmefika sasa
Nmemuwaza nkaishia kucheka 2Ha ha ha Drake kama Drake