Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina wanastahili kubeba hili kombe. Naona Di Maria leo ana upepo mzuri haha
 
Haikua rahisi [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Mungu wa Ibrahim, wa Isaka na wa Yakobo. Tulianza na wewe Mungu na tunamaliza nawewe Mungu wetu, usiyeshindwa. Hujawahi shindwa, hishindwi na hutokuja kushindwa kamwe.
Umemfanya Messi kuwa bora na leo kawa bora zaidi. Mungu Baba tunasema asante. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…