Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina wamestahili, mpira kwao ni kama mazoezi tu. Hao ndio ARG bwana, acha hao wafaransa iliyojaza raia wa kigeni
 
Tarehe kama ya leo miezi 10 iliyopita Leo Messi aliiongoza Argentina kubeba ndoo ya Dunia.

Baadae mwezi huu atabeba na Ballon d’or
 
Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Lionel Messi aliiongoza Argentina kutwaa Kombe la Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…