Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii world cup ya Qatar timu za kiislamu zinashangiliwaaaaaaa sanaaaa huko uwanjani kuliko team za kizungu. Is like Islam vs white culture Sasa ngoja mzungu aingie fainali watajua hawajui.
Senegal walishangiliwa sana? Na iran niliona tu wanatukanana jana kwa kuoneshana vidole vya kati wenyewe kwa wenyewe hakukuwa na amsha amsha yoyote.
 
Nimejaribu kuangalia bei za ticket ni kuanzia Us$ 95-750.
Mechi zinazohusisha Argentina ndio mechi tiketi zake zinauzwa kwa bei kubwa. Kuanzia $550+

Hii maanake ni kwamba Leonel Messi bado ni mtu muhimu sana kwwnye soka. Game zote za Argentina ni $550+

Game kati ya Spain na German nayo bei ya ticket ipo juu. $ 750. Hii ni kwenye round ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…