Nimeamua kuweka bando la kutosha nacheki mechi kupitia dstv nowWe jamaa umeme umerudi au
Nikikumbuka Spain alivo dhalilishwa kule Brazil 2014... Sina hamu
Mimi bado ninaamini France atavuka kundi lake jepesiTangu mwaka 2010, Defending title hajawahi kuvuka group stage.
Ngoja tuone mwaka huu